One passage, several versions
Compare Bible versions
ULB · Kiswahili
| Verse | ULBKiswahili |
|---|---|
| 16 | Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, kwamba akamtoa mwanae wa pekee, ili kwamba mtu yeyote amwaminiye asiangamie bali awe na uzima wa milele. |
Verses are lined up by each edition's own verse numbers. Where numbering differs (bridged, split or missing verses), rows are marked; texts in one row are not guaranteed to be equivalent.