Skip to content
BibleKenyaREAD. CONNECT. UNDERSTAND.
ULBKiswahili

Biblia Takatifu

Zaburi 120

Tap a verse to save, highlight, add a note or share it.

Wimbo wa kwenda hekaluni kuabudu.

Katika dhiki yangu nilimuita Yahwe, naye akanijibu. Uiokoe nasfi yangu, yahwe, dhidi ya wale wadanganyao kwa midomo yao na wanenao hila kwa ndimi zao. Yahwe atawaadhibu vipi, na atawafanyia kitu gani zaidi, ninyi mlio na ulimi mdanganyifu? Atawaadhibu kwa mishale ya shujaa iliyo nolewa kwa makaa ya moto ya mretemu. Ole wangu mimi kwa sababu ninaishi kwa muda Mesheki; huko nyuma niliishi kati ya maskani ya Kedari. Kwa muda mrefu sana niliisha na wale waichukiao amani. Nipo kwa ajili ya amani, lakini ninenapo, wao wako kwa ajili ya vita.

Swahili Unlocked Literal Bible / Biblia Takatifu. Copyright © 2019 Door43 World Missions Community. Translation and contributors: see the complete source notice below. Licensed under CC BY-SA 4.0. Typeset from the source USFM; no intended changes to scripture wording.

Full source notice & licence · CC BY-SA 4.0 · SourceEdition imported 2026-10-25.

YOUR STUDY SPACE

Verse

Saved in this browser only. Export your notes to keep a backup.

Open verse with context

Reading settings

The core navigation can be switched to Kiswahili. Study guides and setup instructions remain in English.